Monday, March 19, 2012

AFYA YA GURUMO YAIMARFIKA, Anatarajia kupata ruhusa Hospitalini leo na kurejea nyumbani.


Mwanamuziki Mkongwe wa Muziki wa dansi nchini na Kiongozi wa Bendi ya Msondo Ngoma Muhidini Maalim Gurumo akiwa amekaa kitandani kwenye wadi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kulazwa siku ya jumamosi akikabiliwa tatizo la shindikizo la damu (presha ya kushuka)
 Hapa akizungumza na Blogger
Gurumo aliiambia blog hii kuwa afya yake imeimarika na hata akiruhusiwa leo ataweza kuendelea na shughulizake kama kawaida. "Nipo fiti sasa tatizo limeisha kwakuwa niliwaishwa mapema hospitali ndio maana nipona kwa haraka" aliiambia blog hii leo hospitalini hapo.

No comments: