Sunday, March 4, 2012

ANGALIA NAMNA VIJANA WA SIMBA NA MASHABIKI WAO WALIVYOPENDEZA .SIMBA WAICHAKAZA KIYOVU 2-1

 Mashabiki wa simba waking'ara uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Sunzu akipachika bao la Kwanza baada ya kupikiwa mpira na Okwi.
 Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi akipika bao la kwanza.
 Mashabiki twende kazi.
Sunzu akifurahia bao lake la kwanza.

No comments: