Monday, March 5, 2012

APRM WAKUTANA DAR, TUZO ZA TEHAMA ZA KABIDHIWA, KITUO CHA MWENGE CHAGEUKA MACHINGA COMPLEX.

Baadhi ya Wajumbe wa Mpango wa Hiari wa Kujipima kwa vigezo vya Utawala bora wa nchi za Umoja wa Afrika (APRM) wakijadiliana jambo wakati wa Mkutano wa kujadili taarifa ya maendelea ya Tanzania kwenye mkutano ulioshirikisha wataalam kutoka zaidi ya nchi 15 kati ya 30 zilizomo kwenye mpango huo.

 Wajumbe wa Mpango wa Hiari wa Kujipima kwa vigezo vya Utawala bora wa nchi za Umoja wa Afrika (APRM) wakifuatilia Mkutano wa kujadili taarifa ya maendelea ya Tanzania kwenye mkutano ulioshirikisha wataalam kutoka zaidi ya nchi 15 kati ya 30 zilizomo kwenye mpango huo.
 Wajasiriamali wa Tanzania wao biashara ni popote je sheria zinasemaje? Hapa ni eneo la Barabara la Sam Nujoma nje ya eneo la Mlimani City mjasiriamali amepanga bidhaa zake.
 Jamani Watanzania Wenzangu tuwe wabunifu wa biashara kwanini jiji la Dar kilakona kuna Show room za magari na baiskeli?
 Eneo hili la Kituo cha daladala cha Mwenge ni maalun kwaajili ya daladala lakini kwanini wanaojazana humo ni wamachinga wasimamiaji wa sheria wako wapi? Ama sisi watanzania tunaridhika kuishi maisha ya kutokuwa na utaratibu wahusike timizeni wajibu wenu..
 WANAFUNZI WA SHULE MBALIMBALI BARANI AFRIKA IKIWEMO TANZANIA WA MCHEPUO WA SAYANSI LEO WAMEPOKEA TUZO ZAO KWA KUFANYA VIZURI KWENYE MASHINDANO YA TEHAMA.
 Nasisi tumoooo
 BAADHI YA SHULE ZA TANZANIA ZILIZOCHUKUWA TUZO NI FEZA SCHOOLS NA ROYOLA ROYOLA.

 Tufurahiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

No comments: