Tuesday, March 13, 2012

BALOZI WA MISRY NCHINI AJITAMBULISHA KWA DOKTA SHEIN.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hassan Moharam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana, kwa ajili
ya kujitambulisha kwa Rais hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na mgeni wake Balozi wa Misri nchini Tanzania Hassan Moharam, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  muda mfupi uliopita, baada ya mazungumzo yao, na kujitambulisha kwa Rais.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Misri nchini Tanzania Hassan Moharam, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,kwa ajili
ya kujitambulisha kwa Rais.
 PICHA ZOTE NA RAMADHAN OTHMAN WA IKULU ZANZIBAR

No comments: