Monday, March 26, 2012

BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR LAPATA KATIBU MKUU MPYA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Yahya Khamis Hamad,kuwa Katibu wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, baada ya kumteuwa kushika nafasi hiyo,hafla ya kiapo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Luteni Kanali Mohamed Mwinjuma Kombo, kuwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia  Zanzibar, baada ya kumteuwa kushika nafasi hiyo,hafla ya kiapo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
                                                     
                                           
                                     Yahya Khamis Hamad, Katibu wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar.        
Luteni Kanali Mohamed  Mwinjuma Kombo, Mkuu wa Kikosi cha Valantia  Zanzibar,

No comments: