Friday, March 23, 2012

BOMOABOMOA YATINGA KARIAKOO.

 Kampuni ya Yono Auction mart kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini leo imetekeleza amri ya mahakama kwa kubomoa nyumba eneo la Kariakoo ili kupisha ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo kasi kama inavyo onekana Pichani ni eneo la Kamata Kariakoo.

No comments: