Monday, March 26, 2012

CHAMA KIPYA CHA ADC CHAPATA USAJILI WA MUDA. Ni cha wafuasi wa Hamadi Rashid waliojiondoa CUF, Waenda kwa Msajili kwa mbwembwe wafunga mitaa ya Jiji.

 Nembo ya Chama Kipya Cha Aliance For Democratic Change.
 Kaimu Mwenyekiti wa Muda wa Chama kipya Cha ADC Said Miraji Abdalla, akikabidhiwa kadi ya uanachama na muasisi wa Chama hicho kutoka Musoma Iddi Hamisi Mtani.
 Kaimu Mwenyekiti wa ADC (katikati) akishangili mara baada ya kufungua ofisi yao kushotgo ni katibu Mkuu wa Chama hicho Kadawi Lukas Limbu.
 Mbwembwe za chama kipya ndani ya mitaa ya jiji la Dar es Salaam.
 Wakiwa maenei ya Kitumbini Kariakoo
 Kaimu Mwenyekiti (katikati) akionyesha cheti cha usajili wa mudakushoto ni msajili wa vyama vya siasa John Tendwa kulia ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Kadawi Lucas Limbu.
Bendera ya Chama Kipya ikipandishwa
 Mashabiki wa Chama Kipya.
 Mwenyekiti anapokea Cheti Tunaipandisha!
 Mbwembwe

No comments: