Wednesday, March 14, 2012

DK.SHEIN AKUTANA NA BARAZA LA HABARI TANZANIA.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania, ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo, chini
Makamo Mwenyekiti wa baraza hilo, Chande Omar, (wa  pili kulia) ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazji ya Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Baraza la Habari Tanzania, Ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo, chini Makamo
Mwenyekiti wa baraza hilo, Chande Omar, (wa pili kulia) pia Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazji ya Zanzibar.

Picha na Ramadhan Othman, IKULU ZANZIBAR.

No comments: