Tuesday, March 27, 2012

DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA WAHADHIRI WAKIMATAIFA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Ujumbe wa wahadhiri  wa Kimataifa (wazalendo) walioshiriki katika warsha ya utayarishaji wa
Mitaala ya masomo ya Uzamili na Uzamivu katika Kiswahili,ukiongozwa na Mwenyekiti wao Prof Said Ahmed wa Ujerumani,(wa pili kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

 PICHA KWA HISANI YA IKULU ZANZIBAR

 Naibu waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Philipo Mulugo, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuchaguliwa kwa wanafunzi wa kidato cha tano na vyuo vya ualimu jijini Dar es Salaa leo.

 Mwenyekiti wa Kituo cha Taarifa kwa wananchi (TCIB) Deus Kibamba akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utafiti wa taasisi hiyo juu ya idadi ndogo ya watanzania wanaojitokeza kushiriki chaguzi mbali mbali na kugundua kasoro mbalimbali, kushoto ni Mratibu wa taasisi hiyo Obeid Mashauri na Mtafiti Mkuu Jacklin Mateu.

No comments: