Monday, March 26, 2012

KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU ZANZIBAR YAKUTANA

Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ally Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, alipowasili Viwanja
vya Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar jana kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa,ya Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. 


                                    

Wajumbe wa Kikao cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM  Zanzibar wakisalimiana kabla ya kuanza kwa kikao hicho jana katika ukumbi wa mikutamo wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar. 

Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM  Zanzibar, wakipitia makabrasha yenye agenda kabla ya kuanza kwa kikao hicho jana katika ukumbi wa mikutamo wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini.  

PICHA ZOTE NA RAMADHANI OTHMAN WA IKULU ZANZIBAR

No comments: