Thursday, March 22, 2012

KILELE SIKU YA MAJI ZANZIBAR SAMBAMBA NA MAONYESHO YA VIFAA.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiangalia mabomba maalum ya kuchujia maji ,na kuyawezesha kuwa safi,wakati alipotembelea maonesho ya vifaa mbali mbali vinavyotumika katika kuwezesha kupatikana kwa huduma hii,wakati wa kilele cha siku ya Maji Duniani huko Saateni Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiangali vifaa mbali mbali nanavotumika kwa huduma za maji kutoka Nassor Mohamed Nassor,wa Mapambazuko Spare parts,wakati wa maonesho ya vifaa mbali mbali vya huduma ya Maji wakati wa Maadhimisho
ya  kilele cha Siku ya Maji Duniani huko Saateni Mjini Zanzibar.

No comments: