Monday, March 19, 2012

KOVA AWACHAKAZA WAHALIFU JIJINI DAR, Awaweka lupango wahalifu sugu 366.

Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya Dar es Salaam Suleimani Kova, akionyesha silaha walizo zikamata kwenye operesheni maalum ya kukamata wahalifu jijini humo, ambapo wamefanikiwa kuwakamata wahalifu sugu 366 kwenye zoezi hilo.

No comments: