Wednesday, March 7, 2012

KUTOJUA SHERIA NI SEHEMU YA UTETEZI MBELE YA SHERIA?

Haya sasa huyu mwanafunzi alinaswa na kamera ya blog eneo la Stesheni (Central mbele ya jengo la Kamanda Kova akivunja sheria) je asamehewe au sheria uchukue nafasi yake?

No comments: