Wednesday, March 7, 2012

MADAKTARI WAGOMA RASMI. Wanasema hawana imani na Pinda tena. Kama anakengeuka makubaliano ya kujiuzulu kwa Waziri Mponda na wenzake hata waliyokubaliana hayata tekelezwa.

Hii ni sehemu ya makubaliano ya Madaktari na Serikali.

No comments: