Wednesday, March 7, 2012

MAUZAUZA YA JIJI LA DAR.


 Wakinamama wakisoma tangazo la Chama cha Madaktari nchini (TMA) lililobandikwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambalo linasema iwapo Waziri wa Afya, Dk Haji Mponda na Naibu wake Dk Lucy Mkya hawatajiuzulu au kuwajibishwa, wataanza rasmi mgomo.
 Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo wakiwa wamepanga bidhaa zao kandokando ya barabar ya Morogoro eneo la Manzese jijini Dar es Salaam licha ya Waziri wa Ujenzi, John Maghufuli kutoa amri ya kuamishwa mara moja.
Pamoja na Sheria amri na hata vibao kuwepo kwaajili yakuzuia mambo mbalimbali yasiharibike lakini watanzania tunaziba pamba masikio hatana nili nalo? Hapa ni eneo la Tabata Relini eneo linalo ongoza kwa kupaki maroli hovyo.

No comments: