Wednesday, March 7, 2012

MTAMBO WA GESI YA MATUMIZI NYUMBANI WAZUNDULIWA JIJINI DAR. Unatumia taka za nyumbani kuzalisha gesi. Ni technolojia rahisi kutumia

 Mkurugenzi Mtendaji wa Simgas Tanzania Ltd, Tayeb Noorbhai, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuzindua mtambo wa kutengeneza gesi ya matumizi ya majumbani kutokana na taka za vyakula, kulia ni Afisa Msimazi Mkuu Charles Mackens.
Afisa Msimazi Mkuu wa kampuni ya Simgas Tanzania Ltd Charles Mackens, akionyesha sehemu ya mtambo wa gesi ya kupikia majumbani wakati wa uzinduzi wa mtambo huo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Tayeb Noorbhai.

 Wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti kutoka kushoto ni Meneja wa Mawasiliano Imani Lwinga, Mkurugenzi wa Masoko Ephraim Mafuru, Mpishi Mkuu wa bia Donald Litle, na Brand Meneja Allan Chonjo wakionyesha Cheti cha Ushindi wa Tuzo ya DLG ya Ubora (DLG’s gold medal for quality) nchini Ujerumani ikiwa ni mara ya tatu mfululizo kuchukua tuzo hiyo.
 Picha ya Cheti cha Tuzo ya DLG waliyoshinda nchini Ujerumani kwa miaka mitatu mfululizo.
 Mbunifu Nuru Charles, akipanga kuni ambazo yeye na wenzake wameutengeneza kwa kutumia makaratasi eneo la Mabibo External jijini Dar es Salaam. Mkaa huo unawaka kwa saa 4 na wanauza sh 1300 kwa kilo.

No comments: