Saturday, March 17, 2012

RAIS MTAAFU MWINYI ASHIRIKI MAZISHI YA MWAKILISHI ZNB.

 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo katika kaburi la aliyekua Mwakilishi wa Jimbo la Bububualiekuwa Muakilishi wa Jimbo la Bububu Marehemu Salum Amour Mtondoo.  


Bondia Ramadhani Shauli akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Gabriel Ochiang wa Kenya kulia

No comments: