Monday, March 19, 2012

SEKTA YA USAFIRI WA ANGA KUJIMULIKA, Kongamano la siku mbili kufanyika Dar es Salaam.

 Waziri wa Uchukuzi Omary Nundu akizungumza na Waandishi wa habari.
 Waziri wa Uchukuzi Omary Nundu akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu Kongamano la Taifa la Usafiri wa Anga litakalofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Machi 21, ambapo mada mbalimbali zitajadilia ikiwemo mfumo wa usafiri wa anga ulivyo duniani kwa sasa, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Usafiri wa Anga Kirenga Ndemino.
Waziri wa Uchukuzi Omary Nundu akizungumza na wana habari.

No comments: