Monday, March 26, 2012

SHUHUDIA SIMBA ILIVYO MUAADHIRI MWARABU

 Mashabiki wa Simba wakishangilia Goli la pili la timu hiyo kwenye mechi yao dhidi ya ES SETIF ya Algeria.
 Wachezaji wa Simba wakipongezana baada ya kupachika bao la pili.
 Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Setif.

 Sunzu akifanya vitu vyake
 Amiri Maftah alivyo wadhibiti waarabu.


No comments: