Wednesday, March 7, 2012

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WENGINE WASHEHEREKEA LEO;

Baadhi ya wanawake kutoka vikundi vya Vicoba wilayani Temeke wakishangilia jambo katika maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyokuwa yakifanyika katika ukumbi wa Gadafi Buza Wilayani Temeke.
Mwenyekiti wa asasi ya umoja wa wanawake wanasiasa (T-WCP) Mh. Dk Anna Margareth Abdalla, akihutubia katika sherehe za siku ya wanawake zilizofanyika Buza wilayani Temeke, Kulia kwake ni Diwani viti maalum Temeke Mh. Like Gugu na kushoto kwake ni mjumbe wa sekretarieti ya T-WCP na mwisho ni Dk Deus Kibamba kutoka Jukwaa la Katiba Tanzania.

No comments: