Saturday, March 3, 2012

SIMBA TV YAZINDULIWA KWA MBWEMBWE

 Naibu waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Shukuru Majaliwa, akimlisha keki mwenyekiti wa Simba Alhaj Ismail Aden Rage huku wageni waalikwa wakishuhudia wakati wa uzinduzi wa kipindi cha Simba tv kitakacho rushwa na runinga ya Clouds.Naibu waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Shukuru Majaliwa, akibofya kitufe kuzindua rasmi kipindi cha Simba Tv kitakachokuwa kinarushwa na Clouds Tv, kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam, kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange Kaburu na Prof. Juma Kapuya .
Shampein nazo zikafunguliwa.

No comments: