Friday, March 23, 2012

TIDO ATETA NA WAFANYAKAZI WA MWANANCHI.

 Mkurugenzi mpya wa wa Mwananchi Communications Ltd (MCL), Tido Mhando akizungumza na baadahi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya kuanza kazi rasmi.
 Eneo la maegesho ya mabasi yaendayo Msanga Kisarawe likiwa na mashimo yenye tope zito eneo la nje la Soko la Buguruni kama lilivyokutwa na bloger.


Mwenyekiti wa CUF taifa Prof. Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maazimio ya baraza kuu la uongozi taifa, ambapo alitoa maazimio yaliyofikiwa na kikao cha baraza kuu la uongozi la CUF alisema uamuzi wa kuwatimua utabaki palepale.

Profesa Lipumba alisema kutokana na hali hiyo Baraza Kuu la Uongozi limeteua wajumbe wengine watakao jaza nafasi zao ambazo kwa kipindi chote zilikuwa zimeachwa wazi.

No comments: