Saturday, March 3, 2012

TIGO WAANDAMANA KUZINDUA UCHANGIAJI WA MADAWATI

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi DK.Shukuru Kawambwa (wapili kulia) akiongoza wafanyakazi wa tigo kwenye maandamano ya kampeni ya ijulikanayo kwa jina la tigo tuchange yenye lengo la kukusanya pesa zote watakazoingiza kwa mfumo wa tigo rusha kuanzia saa 5 hadi saa 6 mchana leo kununulia madawati ya shule za msingi, katikati ni Meneja Mkuu Msaidizi wa Tigo Diego Gutierrez.Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundzi Dk. Shukuru Kawambwa akizindua maandamano ya wafanyakazi wa kampuni ya tigo ya kuchangia ununuzi wa madawati kwa wanafunzi wa Shule za Msingi, ambapo pesa zote zitakazopatikana na tigo rusha kuanzia saa 5:00 hadi saa 6:00 mchana zitanunuliwa madawati, kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa tigo, Diego Guteierrez. Picha na Said Powa
Tigooooooooooo

No comments: