Thursday, March 22, 2012

TUNAAPA TUTAKITETEA NA KUKILINDA CHAMA.

Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi CCM,wakila kiapo baada ya kukabidhiwa kadi za Chama hicho na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,wakati wa sherehe za uwekaji wa Jiwe la msingi la Maskani ya Ari Mpya,kasi Mpya na Nguvu Mpya  huko kijiji cha Kama Bondeni Wilaya ya Magharibi,kwenye ziara maalum ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

No comments: