Tuesday, March 13, 2012

UCHUMI WA TZ WAPANDA LICHA YA MISUKOSUKO.

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana mara baada ya ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kuwasilisha taarifa yake kuhusu uchumi wa Tanzania ulivyokuwa licha ya kuwepo kwa tatizo la upungufu wa umeme uliotokana na ukame 2011. Kushoto ni Mkurugenzi  Msaidizi wa Shirika hilo idara ya Afrika Peter Allum. Ujumbe huo ulikuwa nchini kwaajili ya majadiliano ya mapitio ya awamu ya nne ya mpango wa msaada wa kisera.

No comments: