Tuesday, March 6, 2012

WAFANYAKAZI TAZARA WAGOMA ABIRIA WASOTA.

 Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) wakikutana kujadili hatua za kuchukua kutokana na kauli ya Waziri wa Uchukuzi Omary Nundu, kudai kua wamelipwa mishahara yao wakati wana mwezi wa pili hawajapata mishahara hali inayoleta usumbufu kwa familia zao. Sababu ya pili ni Waziri huyo kudai shirika hilo lina mafuta ya kutosha kuendesha treni zake wakati hata mafuta ya kutosha safari moja hamna na kuwapa tahadhari abiria wasikubali kusafiri na treni hiyo kwani nihatari kwa usalama wao linaweza kuzima njiani.
Baadhi ya abiria wakisubiri usafiri wa TAZARA jijini Dar leo.

No comments: