Thursday, March 22, 2012

WAFANYAKAZI WA AIR TANZANIA WALIVYO NG'ARISHA NATIONAL AIR TRANSPORT FORUM 2012.

 Utaipenda Air Tanzania sasa, hawa ni baadhi tu ya wahudumu wa shirika hilo wakati wa Kongamano la Taifa la kujadili maboresho ya Usafiri wa anga nchini.
 Lengo kuu la Kongamano hilo lilikuwa ni kuunda mfumo endelevu wa kuendesha biashara ya usafiri wa anga kwa huduma bora iliyochanganya vizuri na kuufanya usafiri huo kuwa wakawaida kwa Watanzanika.
 Wahudumu wanasema huduma bora kwao ni utamaduni, Safiri na Air Tanzania uhudumiwe vizuri.No comments: