Thursday, March 22, 2012

WAZIRI NUNDU ATUMBUIZA MJOMBA BAND.

Waziri wa Uchukuzi Omary Nundu (kulia) akiimba wimbo wa 'Tanzania yetu ni nchi ya kusifika kote ulimwenguni watu wanajua tanzania yetu njio nchi ya furahaaa' wakati wa hafla fupi mara baada ya mijadala mikali ya mchana kutwa kwenye kongamano la taifa la kujadili sekta ya usafiri wa anga.

No comments: