Wednesday, April 18, 2012

BREAKING NEWS, AFYA YA MAGUFULI NI TETE

Mh.Magufuli alipokwenda kupata kikombe cha Babu Loliondo Mwakajana.

Habari ilizozipztz blog hii hivi punde zinadai kuwa Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuli amezidiwa ghafla na kukimbizwa Hospitalini huko Dodoma ambako bunge la tisa linaendelea. 
Kwa mujibu wa Naibu Spika, Job Ndugai Dk. Magufuli alikumbwa na homa ya ghafla ambapo baada ya kukimbizwa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma, ilibainika kuwa presha yake ilikuwa juu na ana kichomi upande wa kushoto wa mbavu zake.

No comments: