Tuesday, April 17, 2012

HUKUMU YA KESI YA MARANDA NA BINAMUYAKE MWEZI MEI.

Watuhumiwa wa wizi wa fedha za Benki Kuu kupitia Akaunti ya Madeni ya nje EPA Rajabu Maranda (fulana nyekundu) na binamuyake Farijala Husein wakiwa chini ya ulinzi wakitoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo. Leo walitoa utetezi wao na jalada kufungwa ambapo hukumu itasomwa mwezi mei mwaka huu.

No comments: