Friday, April 20, 2012

MAJINA YA WABUNGE WANAOTAKA KUMG'OA MIZENGO PINDA HAYA HAPA

Je unataka kujua wabunge ambao mpaka sasa wameweka sahihi zao ili kuwezesha hoja ya kutokuwa na imani na serikali ijadiliwe bungeni? Je Mbunge wako amesaini? Haya pata baadhi ya majina na tutaendelea kuwawekea hap. 
Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wabunge wanaompenda Wazirimkuu Pinda wameonekana wakihaha kuwashawishi wenzao wasijiorodheshe majina yao nakuwaita wanaonekana vinara wa sakata hilo akina Deo Filikunjombe.
Hata hivyo waliamua kufanya ujanja kwa kila anaeitwa kuweka saini kabisa kwenye orodha hiyo na hata akishawishia itakuwa jibu ni rahisi tu kwamba ameshajiorodhesha.
LIST NI HII WENGINE WANAENDELEA KUSAINI.
1. Mhe. Rashid Ali Abdallah – Cuf
2. Mhe . Chiku Aflah Abwao- Chadema
3. Mhe . Saluim Ali Mbarouk – Cuf
4. Mhe . salum Khalfam Barwany – Cuf
5. Mhe . Deo Haule Filikuchombe- Ccm
6. Mhe.Pauline Philipo Gekul- Chadema
7. Mhe. Asaa Othman Hamad Cuf
8. Mhe. Prof.Kuliyokela Kahigi- Chadema
9. Mhe.Naomi Mwakyoma Kaihula – Chadema
10. Mhe . Sylvester Kasulumbayi- Chadema
11. Mhe. Raya Ibrahim Khamis - Chadema
12. Mhe. Mkiwa Hamad Kiwanga - Cuf
13. Mhe. Susan Limbweni Kiwanga- Chadema
14. Mhe. Grace Sindato Kiwelu –Chadema
15. Mhe. Kombo Khamis Kombo – Cuf
16. Mhe. Joshua Samwel Nassari – Chadema
17. Mhe. Tundu Antiphas Lissu- Chadema
18. Mhe Aphaxar Kangi Lugola- Ccm
19. Mhe susan Anselim Lymo- Chadema
20. Mhe. Moses Machali – NCCR Mageuzi
21. Mhe. John Shibuda Magalle – Chadema
22. Mhe. Faki Haji Makame- Cuf
23. Mhe . Esther Nicholas Matiko- Chadema
24. Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi- Chadema
25. Mhe. Freman Aikaeli Mbowe- Chadema
26. Mhe. Kurudhum Jumanne Mchuchuli – Chadema
27. Mhe. Halima James Mdee-Chadema
28. John John Mnyika- Chadema
29. Mhe. Augustino Lyatonga Mrema- Chadema
30. Mhe . Maryam Salum Msabaha- Chadema
31. Mhe. Peter Msingwa-Chadema
32. Mhe. Christowaja Gerson Mtinda- Chadema
33. Mhe. Philipa Geofrey Mturano- Chadema
34. Mhe. Christina Lissu Mughwai- Chadema
35. Mhe. Joyce John Mukya – Chadema
36. Mhe. Mchungaji Israel Yohane Natse – Chadema
37. Mhe. Philemon Ndesamburo- Chadema
38. Mhe. Ahmed Juma Ngwali- - Cuf
39. Mhe. Vincent Josephat Nyerere- Chadema
40. Mhe. Rashid Ali Omar- Cuf
41. Meshack Jeremiah Opulukwa- Chadema
42. Mhe. Lucy Philemon Owenya- Chadema
43. Mhe. Rachel Mashishanga- Chadema
44. Mhe. Mhonga Said Ruhwanya – Chadema
45. Mhe. Conchesta Rwamlaza – Chadema
46. Mhe. Moza Abedi Saidy- Cuf
47. Mhe. Joseph Roman Selasini – Chadema
48. Mhe. David Ernest Silinde- Chadema
49. Mhe Rose Kamili Sukum - Chadema
50. Mhe. Cecilia Daniel Paresso- Chadema
51. Mhe .Kabwe Zuberi Zitto- Chadema
52. Mhe. Magdalena Sakaya – Cuf
53. Mhe Rebecca Mngodo- Cuf
54. Mhe. Sabreena Sungura -Chadema

No comments: