Monday, April 9, 2012

JIJI LA DAR LILIVYOAMKA LEO! UTALIPENDA, Mbwembwe Tambo Nderemo na Vigeregere.

 Mashabiki wa timu ya Simba wakiserebuka kwenye mitaa ya Msimbazi mapema leo asubuhi, baada ya kuipokea klabu hiyo ikitokea nchini Algeria baada ya kuiondoa timu ya ES Setifu kwa Jumla ya magoli 4-3.
 Kupenda ni maradhi?
 Pamoja na kuifungia bao zuri lililoleta ushindi Okwi bado aulizwa msimbazi, swali la mashabiki kwenye bango hilo?
 Mzuka ukikolea aibu kuleeeeeee, Twende kazi basi. Huyu ni Mshabiki wa kutupwa wa klabu ya Simba miotaa ya Msimbazi leo asubuhi.

 Eeeeeeeeeee Kidedeaaaaaaaaaaaaaaaa, Popopom Mpopo Eeeeeeeeee Kidedeaaaaaaaaaaaa
 Kushinda Raha banaaaaaa

 Wewe hujui kama mnyama akiona hii rangi haipendi? haya sasa vua! vua!... Mashabiki wa simba wakimdhihaki mmoja wa abiria wa dalala mtaa wa Msimbazi ambaye alivaa jezi ya rangi ya timu hasimu na timu hiyho Dar Young African.


 Hata namimi nimo jamani, Kama kupenda ni maradhi basi na huyu anayo alimudu kukimbia kuanzia Msimbazi kupitia Magomeni Mapipa hadi Karume.

 Hapa akikatiza eneo la Jangwani kupandisha Magomeni Mapipa.

 Kaaaaaaaaaaaazi kweli kweli!
 Kinamama nao hawakuwa nyuma kwenye mzinguko wote huo wapo walioishia Ubungo Bus Terminal.

ENDELEA   KUFUATILIA HABARI ZAIZDI, ILA BAADA YA HAPO SIMBA WATAKUTANA NA WASUDAN AMBAO WALIISUKUMIZA MSUMBIJI MABAO 3-0.

No comments: