Friday, April 13, 2012

JK AAPISHA WAJUMBE WA TUME YA KATIBA MPYA

 Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Mpya Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akiapa mbele ya Rais kuwa atatekeleza majukumu kwa mujibu wa mipaka iliyowekwa kisheria. Jumla ya Wajumbe 34 wameapishwa.
 Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Mpya Wziri Mkuu Mstaafy Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuapishwa.

 Baadhi ya wajumbe wa Tume ya Katgiba Mpya wakijadiliana muda mfujpi kabla ya kuapishwa.
Rais Kikwete akiwa na Viongozi wa ngazi ya juu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Serikali ya Muungano (waliokaa) kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Katiba Mpya (waliosimama) jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kuwaapisha.

No comments: