Tuesday, April 3, 2012

KAMATI YA CHEYO (LAC) YAGUNDUA MADUDU WIZARA YA AFYA


KAMATI ya bunge ya Hesabu za Serikali Kuu imegundua madudu kwenye hesabu za Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Kamati hiyo imegundua kuna madawa yenye thamani ya zaidi ya Tsh.4Billioni yameharibika bila kusambazwa kwenye mahospitali na vituo vya afya hali iliyosabisha hasara kwa Serikali.
Kamati hiyo pia imegundua upotevu wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Tsh1.6Billioni.

Je wananchi wanatendewa haki?

No comments: