Friday, April 20, 2012

LATEST Zito atoa neno kuhusu Kauli ya Makinda.

LATEST...ZITTO KABWE: Maelezo ya Spika ni ya kujipanga tu na hayana maana yeyote ile. Spika hajapata hoja yetu. Tunampelekea jumatatu. Atatupangia muda. Wanaweweseka nini?
 Saini bado nane tu kufikia 70 tunakamilisha kwanza kisha hoja kwa Spika Jumatatu. Hamtakwepa Uwajibikaji. Watanzania wamebadilika" Haya ndiyo manene ya Zito dakika Chache tu Zilizopita akizungumza kwa njia ya simu.
TAARIFA MPYA TUTAWELETEA MARA KWA MARA.

No comments: