Tuesday, April 24, 2012

LULU ALIVYOTINGA KISUTU HUKU AKILIA HAKIMU AKAMBEMBELEZA.

Mshtakiwa Elizabeth Michael |(17), ' Lulu'  (mwenye nguo nyekundu, )akiteremka ngazi huku 
akiwa chini ya ulinzi mkali baada ya kupandishwa Kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Aprili 23.2012 ambapo kesi hiyo  ilikuja kwa ajili ya kutajwa.  Kwa 
 mujibu wa Wakili wa Serikali, Elizabeth Kaganda mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Rita Tarimo  ni kuwa upelelezi bado haujakamilika na mtuhumiwa kurudishwa rumande hadi Mei 07 mwaka huu itakapotajwa tena
 
 
 

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiweka shada la mauwa katika kaburi la marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Clement Mwakanjuki,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana katika makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi kushiriki katika zoezi ya upigaji wa picha za vitambulisho vya Taifa,hapo jana sambamba  na utiaji saini fomu maalum na kuweka  alama za vidole,ikiwa ni utaratibu  wa ukamilishaji wa zoezi hilo,(aliyesimama) Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa Zanzibar Bw,Vuai Mussa Suleiman. 


No comments: