Wednesday, April 25, 2012

MATUKIO YA JIJINI DAR LEO, Siku ya Malaria yaadhimishwa kwa amani.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Bunge ya Magogoni jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye hafla ya maadhimisho ya Siku ya malaria duniani kwenye viwanja vya Karemjee.

                                                                AJALI MMMMMMMM
Gari linalotumika kama mgahawa wakuuzia vyakula mbalimbali maeneo ya Posta jijini Dar es Salaam likiwa limeharibika vibaya baada ya kupata jail ya kugonga mti iliyotakana na kuharakishwa kupita eneo la ukumbi wa Karemjee ili msafara wa makamu wa Rais upite. Mmoja wa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu eneo la Posta akiwa nyuma ya gari lililokuwa likielekea Kivukoni, na kuwaacha watu wakishangaa kutokana na kitendo hicho.
Basi la abiria likiwa limeangukiwa na nguzo za umeme eneo la Kipawa barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam kutokana na upepo mkali uliovuma eneo hilo jana na kuangusha nguzo 22 kuanzia Jet Lumo hadi Uwanja wa Ndege.


Nguzo za umeme zikiwa zimeanguka eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam jana kutokana na upepo uliovuma eneo hilo jana.
Dah ameamua imewezekana MUNGU NI MKUBWA Kama angetaka kufanya maafa wakati huu tunasema mengine lakini ametaka ilivyotokea nasi tunamshukuru kwa hilo aaaaaaaaaaaaaamin.

No comments: