Tuesday, April 10, 2012

MAZISHI YA KANUMBA, Hali ni mbaya , Waombolezaji wanaanguka hovyo, Ushauri wa bure mlio majumbani msiende.

Mmoja wa Majeruhi akipatiwa huduma kwenye viwanja vya Leaders.


HALI si shwari kwenye eneo la mazishi ya msanii Steven Kanumba kutokana umati mkubwa wawatu kufurika kwa kiasi kikubwa hata kushindikana kufuata kwa ratiba iliyopangwa.

Hadi sasa matarajio ni kutokea kwa vifo na majeruhi kadhaa wanmaendelea kupelekwa Hospitali.

TAARIFA ZAIDI NITAWALETEA.

No comments: