Thursday, April 5, 2012

MSANII WA KIZAZI KIPYA AMINI WA THT AFUNGA NDOA KIMYAKIMYA.

 Twende mahom wangu.
 Tunawashangilia na ndoa idumu milele na milele.
 Ahsante amini wadau wamekuona nao wanakupa hi! tusalimie shem!

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, kutoka THT Amini, hatimaye ameamua kuachana na ukapela kwa kuvuta jiko kimya kimya. Harusi hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania,  Azania Front jijini Dar es Salaam. Picha zinawaonyesha maharusi wakitoka kanisani kwa nderemo na vifijo.

No comments: