Monday, April 16, 2012

NGORONGORO MARATHON YAFANA

Wanariadha wakianza kutimua mbio za Ngorongoro Marathon za kilometa 21 kuanzia lango kuu la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA) zilizofanyika wilayani Karatu juzi,mashindano
yalikuwa na lengo la kujenga uelewa kwa wananchi wa kupiga vita ugonjwa wa Malaria na yalidhaminiwa na Tigo.
Mshindi wa kwanza kwa wasichana Jackline Sakilu akimaliza mbio

kwa kutumia muda wa saa 1:16:01 katika mashindano ya Ngorongoro Marathon yaliyofanyika wilayani Karatu yakiwa na lengo la kupiga vita ugonjwa wa Malaria na yalidhaminiwa na Tigo.

Mratibu wa Matukio wa kampuni ya simu za mikononi ya Tigo, Edward Shilla (kulia) akimkabidhi mshindi wa pili wa mashindano ya riadha ya  kupiga vita ugonjwa wa Malaria, Restuta Joseph kiasi cha Sh.150,000 mashindano hayo yalifanyika wilayani Karatu, mashindano hayo yalidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.
No comments: