Wednesday, April 18, 2012

SIMBA YAIVUA UBINGWA YANGA RASMI LEO.


 Mashabiki wa Simba wakifurahi baada ya timu yao kuifunga JKT Ruvu magoli 3-0.
 Boban Kama kawaida afanya vituvyake.
 Mashabiki furaha mwemwere mwemmwere!!!!!!
Mashabiki wa Yanga Waaangua Kilio, Wapigwa Goli Moja na Kagera Tunasubiri Mgogoro.

No comments: