Thursday, April 5, 2012

TAMASHA LA MICHEZO LA SUNRISE NURSERY & PRIMARY SCHOOLS LEO

 Nyota njema huonekana asubuhi vijana hawa wa Sunrise Nursery and Primary School ya Mikocheni jijini Dar es Salaam  kama wataendelezwa na vipaji hivi basi watafika mbali sana.
 Blogger anawapongeza walimu na wazazi wa Shule wengine waige mfano huu.

 Nasie vijana wakazi tupo banaaaaaaaaaaa.
 Simchezo, juhudi nguvu na maarifa kwenye michezo zitatufikisha mbali, haya sasa utaipenda.
 Baadhi ya wanafunzi wakifurahia michezo iliyokuwa ikichezwa na wenzao.
Nimeshiiiiindaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

No comments: