Sunday, April 8, 2012

TAMASHA LA PASAKA JIJINI DAR LILIVYO TUMBUIZWA.


 Wacheza Show wa bendi ya Mashujaa Muzika, wakiburudisha mashabiki wao wakati wa Tamasha la Pasaka lililo pachikwa jina la Easter Season Concert, chini ya udhamini wa kampuni ya Tigo kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

 Wacheza Show wa Bendi ya Mapacha Watatu wakiongozwa na mwimbaji nguli wa kundi hilo Halid Chokoraa wakati wa maadhimisho hayo kwenye viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam.


 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flaver Prince Duly Sykes, akiwatumbuiza mashabiki wake kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Msanii mchanga ambaye anakuja kwa kasi sasa anayejulikana kwa jina la Rama K, akiwatumbuiza watu waliohudhuria tamasha hilo la pasaka.

No comments: