Tuesday, April 17, 2012

TANDAHIMBA KIMENUKA

Tandahimba sasa kumegeuka Palestina jana usiku saa mbili wamechoma moto ofisi ya OCD Na maduka mawili hal siyo shwari.
Rais Kikwete na Mkewake Mama Salma walipofanya Ziara Mkoani Mtwara.
Wananchi hao wanafanya fujo hizo kutokana na madai ya malipo ya pesa zao za mauzo ya korosho, huku mbunge wao wakidai kutokatisha tangu alipotangazwa kuwa mbunge wa jimbo hilo.

No comments: