Wednesday, April 4, 2012

TANZANIA ALL STARS KUKIPIGA NA HARAMBEE STARS, TAMASHA LA PASAKA.

 Golikipa Mahiri wazamani wa timu ya taifa Tanzania All Stars Kitwana Manara (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu Pambano la mechi kati ya wachezaji wa zamani wa timu za taifa za tanzania na Harambee Stars ya Kenya itakayofanyika Mombasa nchini Kenya kwenye tamasha la Pasaka.
 Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa Tanzania All Stars Abdalah Maulid aliyenyosha kidole.
Baadhi ya wachezaji kutoka kusho ni Abdalah Maulid, Kitwana Manara, Hassan Mnyenye, Omary Shaaban Gumbo na Laurence Mwalusako.

No comments: