Saturday, April 28, 2012

TIGO YAWEZESHA WAKAZI WA MUHEZA KWENYE TAMASHA.

Mmoja wa wateja wa Tigo aliyejishindia T-shirt akivalishwa T-shirt ya Tigo.

Moja ya vikundi vilivyotoa burudani kwenye tamasha la Tigo wilayani Muheza Tanga wakitoa Burudani.
Kikundi cha Sarakasi kikipagawisha mashabiki waliofurika kwenye Tamasha la Tigo wilayani Muheza hivi karibuni.


Mmmoja wa washindi aliyejishindia zawadi ya simu kutoka Tigo.

Watoto wa Muheza wakicheza Muziki wa H.Baba

Mwanamuziki H.Baba akiwaburudisha wakazi wa Muheza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wajumbe wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar,waliofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
 Picha na Ramadhan Othman.Ikulu.

No comments: