Wednesday, April 4, 2012

UMEME JAMANI.....TATIZO NI MIUNDO MBINU?

 MAFUNDI wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO wakiwa kwenye harakati za kurekebisha miundombinu iliyochakaa kama walivyokutwa na blogger eneo la viwanja vya Karfume karibu na geti la kuingilia ofisi za Shirikisho la Soka nchini TFF.

No comments: