Saturday, April 7, 2012

SIMBA WAJIMWAGA MITAANI DAR KUSEREBUKA


 Mashabiki wa Timu ya Simba wa jijini Dar es Salaam leo wamejimwaga mitaani kusheherekea ushindi wa timu yao dhidi ya timu ya Aljeria ES Setif baada ya kushinda mabao 3 likiwemo la ugenini lenyefaida ya kuhesabiwa kama magoli mawili na kuiacha timu hiyo na magoli yake 3.


SHUJAA wa Wekundu wa Msimbazi alikuwa ni Emmauel Okwi, aliye ifungia timu hiyo bao la kilio kwa setifkwenye dakika ya 90 ya mchezo.

No comments: