Friday, May 25, 2012

DK.SHEIN AENDELEA KUWAFUNDA VIONGOZI WA WIZARA ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, katika utekelezaji wa mpango kazi  wa Ofisi za Wizara hiyo Ikulu Mjini Zanzibar, (kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad  na Waziri wa Wizara hiyo Haroun Ali Suleiman (kushoto)  na  Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee.     
 Maalim Seif kushoto na Rais wa Zanzibar Dk. Shein kulia.
 Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar. 
Picha zote na Ramadhan Othman, IKULU.

No comments: