Wednesday, May 16, 2012

DK.SHEIN AENDELEA NA MAZUNGUMZO NA WIZARA MBALIMBALI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria, katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashra,Viwanda na Masoko,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko
Ikulu Mjini Zanzibar.

No comments: